Siku ya Wanawake Duniani imeadhimishwa kwa hamasa kubwa jijini Arusha, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza dhamira ya serikali kujenga jamii jumuishi, yenye haki na usawa wa kijinsia.
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: March 2025
HERI YA MFUNGO WA KWARESMA
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga
#ARUSHA TUMETARADADI UTAPENDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira
Mazungumzo hayo yalifanyika wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025
Soma zaidi »“MKOA WA ARUSHA NI MKOA MAMA WA MIKUTANO YA KIMATAIFA” MAKONDA.
Tunamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuhakikisha Arusha inazidi kung’ara kama kitovu cha mikutano ya kimataifa. Uwekezaji mkubwa katika miundombinu na mazingira bora ya mikutano umeifanya Arusha kuwa chaguo kuu kwa matukio makubwa ya kimataifa, kukuza utalii, biashara, na diplomasia. 🔹 Tazama picha chache kutoka kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani …
Soma zaidi »TUMEPUNGUZA KIWANGO CHA UMASIKINI KWA ZAIDI YA 26% – MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN.
“Kwa upande wetu Tanzania mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo katika vision yetu ile kubwa ya miaka 25. Mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo tayari tulishapunguza umasikini kwa kiwango cha asilimi 26,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. #sisinitanzania …
Soma zaidi »TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA KWA ASILIMIA 128, RAIS SAMIA ATHIBITISHA MAFANIKIO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa nchi imefanikiwa kuondoa njaa kwa asilimia 100, huku ikijitosheleza kwa chakula kwa asilimia 128. Akizungumza kuhusu hali ya usalama wa chakula nchini, Rais Samia alibainisha kuwa mafanikio haya yanatokana na jitihada kubwa zilizofanywa na Serikali katika sekta …
Soma zaidi »📍 BILIONI 300 ZAJENGA UWANJA WA MICHEZO ARUSHA – MAKONDA AMSHUKURU RAIS SAMIA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makonda, amepongeza juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa bilioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa michezo mkoani Arusha. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Makonda alieleza kuwa uwanja huu utakuwa chachu ya maendeleo ya michezo, kuinua vipaji …
Soma zaidi »MAKONDA AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA, ATOA WITO KWA TLS KUJITOKEZA ZAIDI!
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makonda, amepongeza juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuanzisha na kuendeleza kampeni ya msaada wa kisheria kwa wananchi, akisema kuwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha haki inapatikana kwa wote, hususan kwa makundi yenye uhitaji mkubwa. Akizungumza katika hafla hiyo, Makonda ameiomba Chama …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+