Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze
Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupitia Ofisi ya Kanda ya Kati, Oktoba 10, 2025 imetoa mafunzo kwa wakandarasi wa ujenzi waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB).
NEMC na ZEMA zafikia makubaliano katika Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira nchini.
Makubaliano hayo yamefikiwa katika kikao kilichofanyika Oktoba 7 hadi 8, 2025 ambapo wajumbe wa Bodi na wataalamu kutoka taasisi hizo walikutana kubadilishana uzoefu kuhusu utekelezaji wa majukumu yao.
Soma zaidi »NEMC NA ZEMA ZAIMARISHA MAHUSIANO NA MASHIRIKIANO KATIKA UHIFADHI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA NCHINI
MAZINGIRA YETU. UHAI WETU, TUYATUNZE YATUTUNZE
NEMC imepokea ugeni wa Menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Zanzibar (ZEMA) leo Oktoba 7, 2025
NEMC imefanya kikao Cha kujengeana uwezo ikiwa ni mwendelezo wa juhudi za kuimarisha ushirikiano katika kusimamia na kuhifadhi mazingira.
Soma zaidi »WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA NEMC
NEMC katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Mteja yenye kaulimbiu “Mission Possible” imeweka banda maalum katika ofisi zake ili kurahisisha huduma kwa wateja ikiwa ni pamoja na kujenga mahusiano bora, wadau kutoa maoni, changamoto, na kupatiwa majibu kuhusu huduma za mazingira
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+