WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kali dhidi ya muuguzi mmoja mkoani Tabora anayedaiwa kufanya upasuaji wa mgonjwa nyumbani kwake kinyume na maadili ya taaluma ya afya. Akizungumza leo Machi 4, 2026 alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Machinga jijini Dodoma baada ya kusimamishwa na …
Soma zaidi »Naibu Waziri Ofisi Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange amefanya mazungumzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi ) Mhe.Hamza Hassan Juma wakati wa ziara ya kikazi leo Februari 16, 2026 Zanzibar.
Katika mazungumzo yao viongozi hao wamesisitiza umuhimu wa ushirikiano wa Serikali hizo mbili katika kulinda Muungano. Naibu Waziri Dkt. Dugange alipongeza kazi kubwa ya maendeleo inayofanywa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) chini ya Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Alisema kuwa kupitia maendeleo hayo yanaimarisha uchumi wa Zanzibar na …
Soma zaidi »🔴LIVE: SIKU YA SHERIA NCHINI 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” 📅 Tarehe: 2 Februari, 2026 📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma Mahakama ya Tanzania …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Hamza Said Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.
SERIKALI IMEAHIDI KULIFANYIA KAZI SWALA LA MABADILIKO YA KATIBA – RAIS. DKT. SAMIA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kulipa kipaumbele suala la mabadiliko ya Katiba na kwamba hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ili kufikia mwafaka unaokubalika kwa Watanzania wote. #kilimobiashara #tanzania #wakulima #fursazakilimo #africa #kilimobora #katibampya #KATIBAYATANZANIA #tanzania #samiasuluhu
Soma zaidi »MAMLAKA YA KUPAMBANA NA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA KUSAMEHE WATAKAO KIRI KUFANYA BIASHARA HIYO
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo, ametangaza msamaha kwa wote watakaojisalimisha na kukiri kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, alipokuwa akiteketeza tani 4.402 za dawa za kulevya katika zoezi lililofanyika Oktoba 3, 2025, katika kiwanda cha saruji cha Twiga kilichopo Wazo, jijini …
Soma zaidi »WITO KWA WAGOMBEA KUTII SHERIA
WITO WA KUTII SHERIA KWA WAGOMBEA WOTE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
WAKILI MSOMI NA RAIS WA TLS MWAMBUKUSI AWASHUKIA WAZEE WA NCHI HII,NI WAKATI WAO KULINUSURU TAIFA
Katika hali ya sasa ya kisiasa nchini, ambapo mijadala kuhusu mwelekeo wa uchaguzi mkuu ujao imeanza kuchukua nafasi kubwa, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa wito mzito kwa taifa: kuitishwa kwa dharura kwa kikao cha Wazee wa Taifa. Lengo kuu ni kutafuta maridhiano ya kitaifa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+