Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” 📅 Tarehe: 2 Februari, 2026 📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma Mahakama ya Tanzania …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameitaka Manispaa ya Morogoro kuona uwezekano wa kujenga sehemu maegesho ya magari pembezoni mwa Mradi wa Stendi ya Mabasi Madogo ya Kihonda inayojengwa kupitia mradi wa TACTIC, ili maegesho hayo yawe ni chanzo kipya cha mapato ya manispaa hiyo.
Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa uongozi wa Manispaa ya Morogoro, mara baada ya baada ya kumaliza ukaguzi wa ujenzi wa mradi wa Stendi ya Mabasi Madogo Kihonda, stendi ambayo inajengwa karibu na Stesheni ya SGR ya Jakaya Kikwete Morogoro. “Kuna watu wanatoka mbali wanakuja Stesheni ya Jakaya Kikwete ili …
Soma zaidi »🔴#LIVE: RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI (UDSM – IMS) ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 08 Januari, 2026, Buyu, Zanzibar. #WaziriMkuu #Wamachinga #Bodaboda #Bajaji #HabariZaKitaifa #MaendeleoYaWananchi
Soma zaidi »RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA MAJENGO YA TAASISI YA SAYANSI ZA BAHARI (UDSM – IMS) ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni la Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, tarehe 08 Januari, 2026, Buyu, Zanzibar.
Soma zaidi »“POLENI KWA CHANGAMOTO YA MAJI WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM” MHE. RAIS DKT. SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.
Rais Dkt. Samia pamoja na Naibu Mwenyekiti wa CWEIC Lord Hugo Swire ambaye pia alikuwa Waziri wa zamani Mambo ya Nje wa ofisi ya Jumuiya ya Madola katika Serikali ya Uingereza walijadiliana masuala ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Uwekezaji ambao utachochea ukuaji wa uchumi na kutengeneza ajira. Aidha, Lord …
Soma zaidi »WATUHUMIWA 940 MBARONI KWA TUHUMA ZA DAWA ZA KULEVYA
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imekamata kilogramu 33,077.623 za dawa za kulevya aina mbalimbali huku ikiwashikilia watuhumiwa 940 kuhusika kwenye matukio tofauti ya uhalifu wa dawa za kulevya. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, akizungumuza na waandishi wa Habari leo Septemba 8,2025 jijini Dar …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhwan Jakaya Kikwete (Mb), ametoa hotuba muhimu, Agosti 27, 2025, Dar es Salaamu JengO la Nsssf ,Wakati wa ziara ya Mheshimiwa Gembá Koichiro, Makamu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Japan, na ujumbe wake
Hotuba hiyo ililenga kuimarisha uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo mbili na kusisitiza umuhimu wa kuwekeza katika maendeleo ya rasilimali watu, hasa vijana. Mhe. Kikwete alieleza kuwa Tanzania imeendelea kuwa na ukuaji thabiti wa uchumi, lakini ili kufungua kikamilifu uwezo wake, ni lazima kuwa na kipaumbele katika maendeleo …
Soma zaidi »ONA JINSI TANI 18 4 YA SHEHENA YA DAWA MPYA YA KULEVYA NA WATUHUMIWA WALIVYOKAMATWA DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata shehena ya dawa mpya ya kulevya aina ya mitragyna speciosa mifuko 756 yenye uzito wa jumla ya kilogramu 18,485.6 sawa na tani 18.5 iliyokuwa ikiingizwa nchini kama mbolea. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2025 na Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO
Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+