“ Mtoto ni zao la matokeo ya wazazi wawili, Naomba wazazi tuthamini kuwa mtoto ni mtu muhimu na anahitaji kulelewa, tukumbuke kuwa tumefika hapa kwa kuwa wako wazazi walivumiliana na wakatulea katika familia na sisi tusiwe watu wa kutelekeza familia zetu, ni wajibu wa kila mmoja kujua kuwa familia ni …
Soma zaidi »Taarifa ChanyA+
May, 2025
-
9 May
SERIKALI YAZIDI KUWAGUSA WANANCHI, KWA UZINDUZI WA MIRADI NA USAMBAZAJI ELIMU YA MSAADA WA KISHERIA
Katika safari ya kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli na haki kwa wote, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Katiba na Sheria chini ya Waziri Dkt. Damas Ndumbaro, yazindua miradi ya maji safi na salama pamoja na kusambaza elimu ya msaada wa kisheria …
Soma zaidi » -
1 May
🔴 RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATOA HOTUBA ILIYOBEBA TABASAMU KUBWA KWA WAFANYAKAZI | MEI MOSI 2025🔥
Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2025, yaliyofanyika Kitaifa mkoani Singida, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa hotuba yenye msukumo, matumaini na dira mpya kwa wafanyakazi wa Tanzania. Katika hotuba hiyo, Mhe. Rais amepongeza mchango mkubwa wa wafanyakazi …
Soma zaidi »
April, 2025
-
30 April
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE…
#MSLAC #SisiniTanzania #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #Naipendanchiyangu #matokeochanya #SSH #kazinaututunasongambele #Mslac #katibanasheria
Soma zaidi » -
23 April
ADA TADEA KUSIMAMISHA WAGOMBEA UDIWANI NA UBUNGE, NAFASI YA RAIS KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Mwenyekiti wa Chama cha ADA TADEA Mkoa wa Songea, Alli Sadiki Mapunda, ametangaza kuwa chama chao kipo tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema kuwa ADA TADEA itasimamisha wagombea katika nafasi zote za udiwani na ubunge, …
Soma zaidi »
March, 2025
-
27 March
FUTARI YA PAMOJA MKOANI ARUSHA – SISI NI NDUGU
RC. MAKONDA , AANDAA FUTARI YA PAMOJA MKOANI ARUSHA , IKIWA NA NIA YA KUWAWEKA PAMOJA WANANCHI KAMA NDUGU
Soma zaidi » -
23 March
CHIFU WA MBEYA ROCKETI MASOKO MWANSHINGA AKEMEA WANAPANGA KUZUIA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi …
Soma zaidi » -
20 March
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshiriki katika Mkutano wa UK-Africa Health Summit 2025 uliojadili ushirikiano katika kuboresha sekta ya afya nchini
Mkutano huo pia umejadili vipaumbele vya Sera ya Afya kama vile kushughulikia magonjwa yasiyoambukiza, magonjwa ya mlipuko, kuimarisha afya ya msingi na kujengea uwezo watumishi wa sekta ya afya kwenye ubingwa bobezi kwa kubadilishana uzoefu, namna bora ya kuendelea kuboresha huduma za lishe na uimarishaji wa mifumo ya afya. Katika …
Soma zaidi » -
17 March
RAIS SAMIA KAZINDUA SERA MPYA YA TAIFA YA ARDHI: MSINGI WA MAENDELEO ENDELEVU
DODOMA, 17 Machi 2025 – Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center umejaa viongozi na wageni mashuhuri, wakishuhudia tukio la kihistoria – uzinduzi rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023. Hafla hii muhimu inaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa …
Soma zaidi » -
17 March
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi » -
10 March
WANANCHI WA SAME NA MWANGA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE
Wananchi wa wilaya za Same na Mwanga wameonyesha furaha na shukrani kubwa kwa uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, hususan kwa uwepo wa mtambo wa kisasa wa kutibu maji uliopo wilayani Mwanga. Mradi huu, ambao chanzo chake ni Bwawa la Nyumba ya Mungu, umekamilika baada ya kusubiriwa kwa miaka …
Soma zaidi » -
8 March
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Siku ya Wanawake Duniani imeadhimishwa kwa hamasa kubwa jijini Arusha, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza dhamira ya serikali kujenga jamii jumuishi, yenye haki na usawa wa kijinsia.
Soma zaidi » -
8 March
TUMEPUNGUZA KIWANGO CHA UMASIKINI KWA ZAIDI YA 26% – MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN.
“Kwa upande wetu Tanzania mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo katika vision yetu ile kubwa ya miaka 25. Mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo tayari tulishapunguza umasikini kwa kiwango cha asilimi 26,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. #sisinitanzania …
Soma zaidi »