Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wananchi na viongozi wa serikali kuhakikisha wanalinda na kuhifadhi vyanzo vya maji kwa maendeleo endelevu ya taifa. Katika Ziara yake, Mhe. Majaliwa amesisitiza umuhimu wa utunzaji wa mazingira ili kulinda rasilimali za maji zinazotegemewa na Watanzania kwa kilimo, mifugo, viwanda, …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 15, 2025
Msaada wa kisheria ni nyenzo muhimu katika kujenga jamii yenye haki, usawa, na maendeleo endelevu
Juhudi ya Serikali ni kuhimiza wananchi kushiriki na kupata elimu ya kisheria ili waweze kunufaika na haki zao. #kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @issatimbe2 @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados, Mhe. Mia Mottley ambapo wamekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili
Mazungumzo hayo yamefanyika katika makazi rasmi ya Waziri Mkuu, Mhe. Mia Mottley, Jijini Bridgestone, nchini Barbados. Waziri Mkuu Mia amesema, kuna umuhimu wa kuwa na mkakati wa pamoja na kushirikiana kwa lengo la kukuza utalii kati ya Barbados na Tanzania na nchi za Afrika Mashariki kwa ujumla. Amesema kuna maeneo …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+