IKULU

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ πŸ”΄RAIS SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU – DSM

#ijuesheria #section4wakilitv #bunge #ijuesheria #section4wakilitv #bunge #bungenidodoma #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT- DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, leo tarehe 11 Machi, 2025. Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT- DODOMA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma, leo tarehe 11 Machi, 2025. Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji na Mwenyekiti wa kampuni ya SC Johnson Family Dkt. Fisk Johnson kutoka Marekani pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Sekretariet ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano katika Usimamizi na Menejimenti ya Taka za Plastiki Bi. Clemence Schmid, Chamwino Dodoma

Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema serikali imedhamiria kushirikiana na wadau, sekta binafsi pamoja na jumuiya ya kimataifa katika kupambana na tatizo la taka za plastiki nchini. Amesema uzoefu unaonesha kwamba ushirikiano ni njia bora zaidi itakayowezesha kukabiliana na tatizo hilo kwani yapo maeneo ambayo taka za plastiki hutupwa …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Mali, Mheshimiwa Madou Diallo.

Balozi Diallo amemshukuru Rais Samia kwa mapokezi mazuri na kueleza dhamira yake ya kuendeleza na kukuza mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Mali. Amesisitiza kwamba atafanya kazi kwa bidii kuhakikisha kuwa nchi hizi mbili zinanufaika na ushirikiano wao katika nyanja mbalimbali. Mheshimiwa Diallo, ambaye atakuwa na makazi yake jijini Addis …

Soma zaidi »