Maktaba ya Kila Siku: March 20, 2025

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ameshiriki katika Mkutano wa UK-Africa Health Summit 2025 uliojadili ushirikiano katika kuboresha sekta ya afya nchini

Mkutano huo pia umejadili vipaumbele vya Sera ya Afya kama vile kushughulikia magonjwa yasiyoambukiza, magonjwa ya mlipuko, kuimarisha afya ya msingi na kujengea uwezo watumishi wa sekta ya afya kwenye ubingwa bobezi kwa kubadilishana uzoefu, namna bora ya kuendelea kuboresha huduma za lishe na uimarishaji wa mifumo ya afya. Katika …

Soma zaidi »