Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025. Uzinduzi huu umefanyika Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 20 Novemba 2025.
Soma zaidi »HUYO MTU ANAITWAJE …. ?
#SisiniTanzania #nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #Nchiyetufahariyetu #tanzania #SSH #kazinaututunasongambele #matokeochanya #katibanasheria #mslac @samia_suluhu_hassan @mawasilianoikulu8747
Soma zaidi »WANAKEREKA NA TAMBO ZETU, LAKINI NI KWELI TANZANIA INA UMOJA, UPENDO NA AMANI.
#SisiNiTanzania #Tanzania #AmaniKwanza #UmojaNaAmani #TanzaniaMoja #PeaceForTanzania
Soma zaidi »JE WAJUA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU, NA HUU NDIO MUSTAKABALI WA TAIFA LETU.
RAIS SAMIA AZUNGUMZA MARA BAADA YA KUAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
Leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa hotuba muhimu mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya Ikulu. #RaisSamia #MawaziriWapya #Ikulu #HotubaYaRais #Tanzania
Soma zaidi »WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AMEKABIDHIWA RASMI OFISI NA WAZIRI MKUU MSTAAFU KASSIM MAJALIWA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alikabidhiwa rasmi ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa Novemba 17, 2025, Mlimwa, Dodoma. Hafla ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu.
Soma zaidi »RAIS SAMIA ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI LEO.
Katika hotuba yake leo, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza majina ya mawaziri wapya na mabadiliko ya wizara. Video hii inakuletea majina yote na maana ya mabadiliko haya kwa taifa.
Soma zaidi »SERIKALI IMEAHIDI KULIFANYIA KAZI SWALA LA MABADILIKO YA KATIBA – RAIS. DKT. SAMIA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kulipa kipaumbele suala la mabadiliko ya Katiba na kwamba hatua mbalimbali zinaendelea kuchukuliwa ili kufikia mwafaka unaokubalika kwa Watanzania wote. #kilimobiashara #tanzania #wakulima #fursazakilimo #africa #kilimobora #katibampya #KATIBAYATANZANIA #tanzania #samiasuluhu
Soma zaidi »NAMWOMBA MWENYEZI MUNGU KUWA MWISHO WA AWAMU YA SITA USIPIMWE KWA VITU BALI KWA TABASAMU- RAIS SAMIA
“Namwomba Mwenyezi Mungu kuwa mwisho wa Awamu ya Sita usipimwe kwa vitu bali kwa tabasamu tutakaloliacha kwenye nyuso za Watanzania” — inatukumbusha maana ya uongozi unaogusa watu moja kwa moja. Ni wito wa kufanya kazi kwa moyo, kusikiliza wananchi na kuhakikisha maisha yao yanakuwa bora zaidi kwa vitendo vinavyoonekana ndani …
Soma zaidi »DKT. MWIGULU AAPISHWA IKULU CHAMWINO—RAIS SAMIA AELEZA SABABU ZA UTEUZI WAKE
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika hotuba yake, Rais Samia amesema uteuzi huo ulipitia ushindani mkubwa na Dkt. Mwigulu ndiye aliyebeba sifa nyingi zaidi kwenye vigezo vyote vilivyopimwa. Ameeleza kuwa majukumu ya Waziri Mkuu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+