MASWALI NA MAJIBU KATI YA WAANDISHI WA HABARI NA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA
Tazama kwa kina Maswali na Majibu kati ya Waandishi wa Habari na Waziri wa Katiba na Sheria – tukio la moja kwa moja linalogusa masuala nyeti ya haki, sheria, usuluhishi wa migogoro, na utekelezaji wa haki kwa wananchi. Fahamu msimamo wa serikali juu ya maboresho ya mfumo wa sheria nchini. …
Soma zaidi »MKUTANO WA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DODOMA.
Mkutano maalum kati ya Waziri wa Katiba na Sheria na Waandishi wa Habari umefanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kujibu hoja, kuelimisha umma na kueleza hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika maboresho ya sheria na upatikanaji wa haki kwa wananchi. Usikose kufuatilia majibu ya Waziri kuhusu masuala ya usuluhishi (ADR), msaada wa …
Soma zaidi »Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino, Dodoma ambapo pia aliwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha
USIPOTEZE HAKI YAKO, WAHI KAHAKIKI TAARIFA ZAKO, RAIS DKT. SAMIA
“Ndugu zangu nami nimeona nijiunge nanyi hapa kituoni kwetu. Kama mnavyojua mimi ni mkazi wa Chamwino na nimepiga kura nyingi huko nyuma. Lakini kwa mwaka huu ni lazima nipige hapa Chamwino. Kwa hiyo ndiyo maana nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Si mpiga kura mpya lakini nimekuja kurekebisha taarifa zangu. Huko nyuma …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2025 ameshiriki Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge jijini Dodoma.
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma
YALIYOONEKANA KUWA MAGUMU YAMEWEZEKANA KWA RAIS SAMIA- NAIBU SPIKA MUSSA AZAN ZUNGU
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi ya …
Soma zaidi »BILIONI 3.4 ZATOLEWA KAMA FIDIA ZA ARDHI DODOMA, RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUIONGEZEA ARDHI THAMANI.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jumla ya shilingi Bilioni 3.4 zimetolewa na serikali kuu kwaajili ya fidia kwa wananchi mbalimbali waliopisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwenye ardhi walizokuwa wanazimiliki. Mhe. Senyamule ametoa …
Soma zaidi »