Taarifa Vyombo vya Habari

HAZINA YA MAAJABU YA ASILI DUNIANI!

Je, umewahi kusikia kuhusu mahali palipojaa neema ya maumbile, watu wenye upendo, na urithi wa kipekee wa utamaduni? Karibu ugundue Tanzania — nchi ambayo haijachakaa kwa macho ya uzuri! Kutoka vilele vya Mlima Kilimanjaro hadi fukwe za kuvutia za Zanzibar, kutoka mbuga maarufu kama Serengeti hadi mito na maziwa yenye …

Soma zaidi »

DHAHABU YA KIJANI INAYOINGIZA MABILIONI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA MISENYI

Misenyi – kitovu cha uzalishaji wa kahawa bora aina ya Robusta inayotikisa masoko ya kimataifa! Kwenye video hii, utajionea jinsi wilaya hii ya Mkoa wa Kagera ilivyogeuza kahawa kuwa chanzo kikuu cha mapato, kuingiza zaidi ya TZS Bilioni 2 kwa mwaka kupitia ushuru wa mazao na biashara. 👩🏽‍💼 Sikiliza kauli …

Soma zaidi »

Tanzania ina utajiri wa rasilimali na fursa za kiuchumi zinazotofautiana kulingana na mikoa yake. Kila mkoa una sifa maalum zinazoweza kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii

Mkoa wa Dar es Salaam Biashara na Huduma Kama kitovu cha kibiashara na bandari kuu nchini, Dar es Salaam ina fursa nyingi katika sekta za biashara, usafirishaji, na huduma za kifedha. Viwanda Uwepo wa viwanda vingi hutoa nafasi za ajira na uwekezaji katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Mkoa wa Arusha …

Soma zaidi »

Utekelezaji na Uendelezaji wa Jiji la Kilimo Mkulazi – Morogoro

Katika hatua nzuri ya utekelezaji, eneo la uwekezaji la Jiji la Kilimo Mkulazi linaendelea kuandaliwa. Kampuni za Longping na Eagle Hills tayari zimekamilisha usafishaji wa mashamba na zinatarajia kuanza upandaji hivi karibuni. Jiji la Kilimo Mkulazi linatarajiwa kuleta manufaa yafuatayo: Mtaji wa Uwekezaji: Milioni 576 USD Uzalishaji wa Sukari: Tani …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika, katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 30 Oktoba, 2024

Mjadala huo ambao uliandaliwa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Serikali na Sekta binafsi ya Marekani hususan waliopo kwenye sekta ya kilimo. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo

Soma zaidi »

Kwa kuwa umwagiliaji ni msingi wa uzalishaji endelevu wa kilimo, TZS 299.96 bilioni zilitengwa kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya umwagiliaji, lengo likiwa ni kufikia hekta milioni 1.2 za ardhi inayomwagiliwa ifikapo mwaka 2025

#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo

Soma zaidi »

Takriban TZS 767.84 bilioni zilitengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ongezeko la asilimia 34.7 kutoka bajeti ya mwaka uliopita. Fedha hizi zinalenga kuboresha miundombinu na kuongeza usalama wa chakula kwa taifa​.

#NaHayaNdiyoMatokeoChanyA+ #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo

Soma zaidi »

Mwaka 2023, Tanzania ilifikia uzalishaji wa tani milioni 20.4 za chakula, kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2022, hivyo kusaidia kupunguza uhaba wa chakula na kuongeza akiba ya kitaifa

#NaHayaNdiyoMatokeoChanyA+ #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo

Soma zaidi »