Tuzo za Habari za Matokeo ChanyA+ Sekta ya Maji
#SamiaKalamuAwards2025 #HayaNiMatokeoChanyA+
Soma zaidi »MZEE EDWARD PETER MAGANGA VIJANA SIMAMENI KULINDA AMANI NA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Mzee Edward Peter Maganga ametoa wito kwa vijana wa Tanzania kusimama imara kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa vitendo, hasa kwa kulinda amani na utulivu wa nchi. Amesema maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa yametokana na kuheshimu utaratibu, sheria na misingi ya kidemokrasia ambayo imeijenga Tanzania kuwa taifa lenye mshikamano. …
Soma zaidi »JE UNAJUA MAJI NI UHAI UNAOLINDA AFYA NA MAZINGIRA
Maji ni rasilimali muhimu inayochangia moja kwa moja katika afya ya binadamu na uhai wa mazingira yetu. Upatikanaji wa maji safi na salama husaidia kuzuia magonjwa, kuimarisha lishe, na kuboresha hali ya maisha kwa ujumla. Mbali na afya, maji yana mchango mkubwa katika kulinda mazingira kwa kusaidia ukuaji wa mimea, …
Soma zaidi »MRISHO MPOTO AELEZA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA MAJI.
Katika video hii, Msanii na Mwanaharakati wa Jamii, Mrisho Mpoto, anazungumzia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya maji nchini. Kupitia juhudi za serikali na wadau mbalimbali, wananchi wengi sasa wanapata maji safi na salama, jambo ambalo limeleta mabadiliko chanya katika afya, kilimo, na maendeleo ya kijamii. Mpoto anaeleza jinsi miradi …
Soma zaidi »MAPINDUZI KATIKA SEKTA YA MAJI
Sekta ya maji imepitia mageuzi makubwa yanayolenga kuboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi. Kupitia uwekezaji wa kisasa, matumizi ya teknolojia bunifu, na usimamizi bora wa rasilimali za maji, serikali na wadau mbalimbali wamefanikiwa kupunguza changamoto za uhaba wa maji. Maboresho haya yanajumuisha ujenzi wa mabwawa mapya, usanifu …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AAGIZA KUSHUGHULIKIWA KWA WATUMISHI WATAKAOKWAMISHA UTEKELEZAJI SERA YA ARDHI.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi kusimama kidete kuwashughulikia watendaji wa Wizara hiyo ambao wamekuwa kikwazo na sababu ya malalamiko mengi ya wananchi na hivyo kukwamisha dhamira njema ya kuwaletea wananchi ustawi. Akizungumza …
Soma zaidi »MRADI WA MAJI ZIWA VICTORIA KUELEKA TABORA UNAENDELEA
#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @issatimbe2 @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi »WAKAZI WA WILAYA YA LUSHOTO WAFURAHISHWA NA UJIO WA MHE. RAIS, WAAHIDI KUMPIGIA KURA OCTOBA 2025.
Wakazi hao wameeleza hayo kutokana na kuridhishwa na utekelezwaji wa miradi ya maji, barabara, afya, kilimo na ujenzi wa jengo la utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli ambalo litatumika kutoa huduma kwa wananchi.Pia, vijana wa Lushoto wanatarajia/waliotimiza miaka 18 wamewasihi vijana wenzao katika maeneo mbalimbali nchini kujiandikisha kwenye daftari …
Soma zaidi »