Maktaba ya Kila Siku: March 12, 2025

MWANAMKE MMILIKI WA KAMPUNI YA WATALII ALIVYOFAIDIKA NA ROYAL TOUR YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU

Msaada wa serikali katika kutangaza Tanzania kama kivutio bora cha utalii umeongeza kasi ya maendeleo kwa wajasiriamali kama mimi. Leo hii nina wateja wa kudumu kutoka Marekani na Ufaransa, jambo ambalo halikuwa rahisi hapo awali, #HakiKwaWote 🇹🇿⚖️ #SamiaLegalAid #TanzaniaYaHaki #mslac #sisinitanzania #katibanasheria #matokeochanya #ccm #nchiyangukwanza #kaziiendelee #hakikwawote #habari

Soma zaidi »

“TUMEUMBWA TUSAIDIANE, KWAHIYO TUNAKWENDA KUSAIDIANA” – MHE RAIS. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Ni maneno yenye uzito mkubwa kutoka kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, yakisisitiza mshikamano, upendo, na mshikamano wa Watanzania katika kujenga taifa imara. Katika hotuba hii, Rais Samia anahimiza umuhimu wa kusaidiana kama jamii, kushirikiana katika maendeleo, na kuwa na moyo wa upendo kwa kila mmoja. Serikali ya Awamu …

Soma zaidi »