Maktaba ya Kila Siku: March 25, 2025

NI WAKATI WA KUIMARISHA AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025: MCHUNGAJI FIDELISI MAHEKE, NKASI.

Mchungaji Fidelisi Maheke ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Agape Life Wilaya ya Nkasi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Makanisa ya Kipentekoste na Katibu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania katika Wilaya ya Nkasi, ametoa wito wa kuhimiza amani, mshikamano na ushiriki wa wananchi katika uchaguzi mkuu wa 2025. …

Soma zaidi »

VIJANA WA NKASI WAJITOKEZE KWA WINGI UCHAGUZI MKUU 2025 – JUSTINE JANUARI KIBOKO.

Justine Januari Kiboko, mkazi wa Namanyere, Kata ya Majengo, Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, ametoa wito kwa vijana wote wa Nkasi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba 2025. Amesema vijana ni nguvu kazi ya taifa na wanayo nafasi kubwa ya kuamua mustakabali wa nchi kwa kutumia haki yao …

Soma zaidi »

TUIOMBEE TANZANIA IENDELEE KUDUMU KATIKA AMANI: ASKOFU MSTAAFU AMBELE MWAIPOPO.

Askofu Mstaafu Ambele Mwaipopo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Mkoa wa Rukwa, amepongeza jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza maridhiano ya kitaifa na kusukuma mbele maendeleo ya nchi. Amesema moja ya mafanikio makubwa yanayoonekana mkoani …

Soma zaidi »

MZEE EDWARD PETER MAGANGA VIJANA SIMAMENI KULINDA AMANI NA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA

Mzee Edward Peter Maganga ametoa wito kwa vijana wa Tanzania kusimama imara kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa vitendo, hasa kwa kulinda amani na utulivu wa nchi. Amesema maendeleo yaliyofikiwa hadi sasa yametokana na kuheshimu utaratibu, sheria na misingi ya kidemokrasia ambayo imeijenga Tanzania kuwa taifa lenye mshikamano. …

Soma zaidi »