Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo Mkata-Mbweni, mkoani Tanga. Hospitali hii inajumuisha majengo 15, ikiwa ni pamoja na wodi za wanawake, wanaume, na watoto, jengo la wagonjwa wa nje (OPD), maabara, jengo la upasuaji, huduma za dharura …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+