UWEKEZAJI

JE HUU NI WAKATI WA FURSA KATIKA KILIMO NA KUJENGA MNYORORO WA THAMANI..?

Huu ni wakati wa kuchukua hatua katika kilimo! Katika video hii tunazungumzia jinsi sekta ya kilimo inavyobadilika na fursa kubwa zilizopo kwa vijana, wakulima, na wawekezaji. Utajifunza: Jinsi ya kujenga mnyororo wa thamani (Value Chain) wenye tija Njia za kuongeza kipato kupitia kilimo cha kisasa Changamoto na suluhisho katika soko …

Soma zaidi »

UNAJUA KINACHO ENDELEA BONDE LA MOMBO? ZAIDI YA HEKTA 200 ZINALIMWA MPUNGA

Mikopo Nafuu Yaleta Mapinduzi ya Kilimo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuonyesha dhamira ya dhati ya kuinua sekta ya kilimo nchini. Kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), wakulima wa Skimu ya Umwagiliaji Mombo wamepata fursa ya kupata mikopo …

Soma zaidi »

MRADI WA URANI WALETA AJIRA NA MATUMAINI KWA WAKAZI WA SONGEA SCOLASTICA

Bi. Scolastica Ernest Lole ni miongoni mwa wananchi walioguswa moja kwa moja na fursa za ajira kupitia mradi wa uchimbaji wa madini ya urani unaoendeshwa na Kampuni ya Mantra Tanzania Ltd. Akiwa mfanyakazi wa Ako Group Ltd kampuni iliyopewa zabuni ya kutoa huduma ya chakula, usafi wa mazingira na malazi …

Soma zaidi »

UZINDUZI WA KIWANDA CHA MAJARIBIO CHA KUCHENJUA URANI KATIKA ENEO LA MTO MKUJU NI NEEMA KWA TAIFA

Urani Mto Mkuju: Mlango Mpya wa Maendeleo na Uchumi wa Juu kwa Tanzania Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani katika eneo la Mto Mkuju, mkoani Ruvuma, umetajwa kuwa hatua muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Bwana Menani Lameck Ezekia, mtaalamu …

Soma zaidi »

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA KITUO CHA BIASHARA NA USAFIRISHAJI AFRIKA MASHARIKI (EACLC) UBUNGO

Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025.

Soma zaidi »