Maktaba ya Kila Siku: March 8, 2025

TUMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA TANZANIA – MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.

“Ndugu zangu kwa upande wa afya tumepiga hatua kubwa sana haswa kwenye maendeleo ya miundombinu. Nyinyi mnatambua kwamba serikali yenu imejitahidi kujenga miundombinu ya afya nchi nzima katika kila ngazi ya zahanati, hospitali za kata, hospitali za wilaya, hospitali za mikoa na hospitali za rufaa,” Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Soma zaidi »

DKT. SAMIA: TUMEPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO

Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, elimu, miundombinu, na maendeleo ya jamii chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Moja ya mafanikio makubwa ni kupungua kwa vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutoka 1500 kwa vizazi hai 100,000 hadi 104 …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira

Mazungumzo hayo yalifanyika wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025

Soma zaidi »

“MKOA WA ARUSHA NI MKOA MAMA WA MIKUTANO YA KIMATAIFA” MAKONDA.

Tunamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuhakikisha Arusha inazidi kung’ara kama kitovu cha mikutano ya kimataifa. Uwekezaji mkubwa katika miundombinu na mazingira bora ya mikutano umeifanya Arusha kuwa chaguo kuu kwa matukio makubwa ya kimataifa, kukuza utalii, biashara, na diplomasia. 🔹 Tazama picha chache kutoka kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani …

Soma zaidi »

TUMEPUNGUZA KIWANGO CHA UMASIKINI KWA ZAIDI YA 26% – MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN.

“Kwa upande wetu Tanzania mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo katika vision yetu ile kubwa ya miaka 25. Mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo tayari tulishapunguza umasikini kwa kiwango cha asilimi 26,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. #sisinitanzania …

Soma zaidi »

TANZANIA YAJITOSHELEZA KWA CHAKULA KWA ASILIMIA 128, RAIS SAMIA ATHIBITISHA MAFANIKIO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa nchi imefanikiwa kuondoa njaa kwa asilimia 100, huku ikijitosheleza kwa chakula kwa asilimia 128. Akizungumza kuhusu hali ya usalama wa chakula nchini, Rais Samia alibainisha kuwa mafanikio haya yanatokana na jitihada kubwa zilizofanywa na Serikali katika sekta …

Soma zaidi »