Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi kusimama kidete kuwashughulikia watendaji wa Wizara hiyo ambao wamekuwa kikwazo na sababu ya malalamiko mengi ya wananchi na hivyo kukwamisha dhamira njema ya kuwaletea wananchi ustawi. Akizungumza …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 17, 2025
RAIS SAMIA AONYA WATUMISHI WA WIZARA YA ARDHI DHIDI YA RUSHWA
“Hatutavumilia Wanaokwamisha Haki za Wananchi” Dodoma, Machi 17, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kali kwa watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa serikali haitawavumilia wahujumu wa haki za wananchi. …
Soma zaidi »RAIS SAMIA KAZINDUA SERA MPYA YA TAIFA YA ARDHI: MSINGI WA MAENDELEO ENDELEVU
DODOMA, 17 Machi 2025 – Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center umejaa viongozi na wageni mashuhuri, wakishuhudia tukio la kihistoria – uzinduzi rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023. Hafla hii muhimu inaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa …
Soma zaidi »YALIYOONEKANA KUWA MAGUMU YAMEWEZEKANA KWA RAIS SAMIA- NAIBU SPIKA MUSSA AZAN ZUNGU
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu Hassan mambo mengo yaliyokuwa yameshindikana yamefanyika ikiwemo maandalizi na uzinduzi wa sera ya Ardhi ya …
Soma zaidi »BILIONI 3.4 ZATOLEWA KAMA FIDIA ZA ARDHI DODOMA, RAIS SAMIA APONGEZWA KWA KUIONGEZEA ARDHI THAMANI.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan jumla ya shilingi Bilioni 3.4 zimetolewa na serikali kuu kwaajili ya fidia kwa wananchi mbalimbali waliopisha miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwenye ardhi walizokuwa wanazimiliki. Mhe. Senyamule ametoa …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera na Uratibu, William Lukuvi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wameungana na familia na waumini kushiriki Misa Takatifu ya kumuombea Rais wa awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli
Misa hiyo Takatifu imeongozwa na Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara katika Kanisa la Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi Mlimani wilayani Chato mkoa wa Geita. Misa hiyo Takatifu imeongozwa na Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi, Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara katika …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Sera ya Taifa ya Ardhi kwenye Hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba
Soma zaidi »KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
@ikulu_mawasiliano @samia_suluhu_hassan @ikulu_habari @TBC_Online @TBCtaifa @cloudsfmtz @wizara_elimutanzania #sisinitanzania#tanzaniayetu#samia#samianatanzania#tanzanianamaendeleo#tanzaniayetu#nchiyangu#sisinitanzaniamoja#sisinitanzania
Soma zaidi »Rais Samia ameshukuru Bi Kwakwa ambaye alifika kuaga rasmi, kwa ushirikiano aliouonyesha kwa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa, tarehe 17 Machi 2025, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+