Mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe ni juhudi kubwa ya kuboresha upatikanaji wa maji safi kwa wakazi wa mikoa ya Kilimanjaro na Tanga. Mradi huu unahusisha ujenzi wa sehemu ya kuchuja maji inayohakikisha uchafu na chembechembe hatarishi zinaondolewa kabla ya kusambazwa kwa matumizi. Pia, kuna sehemu ya kusukuma maji kwa kutumia …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: March 2025
“TUTANYOOSHANA POLEPOLE MPAKA WOTE TUTASIMAMA” MHE: RAIS DKT. SAMIA
Katika hotuba hii yenye ujumbe mzito, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anazungumzia uwajibikaji, uadilifu, na juhudi za kuhakikisha kila Mtanzania anasimama imara kwa maendeleo ya taifa! ππͺ β Uwazi na uwajibikaji katika uongozi β Kusimamia haki na maendeleo kwa wote β Kuimarisha nidhamu …
Soma zaidi »“BIG BOSS, HUSHIKIKI NA KAZI NI KUANGALIA RASILIMALI ZIPO WAPI” MHE: DKT SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaweka wazi msimamo wake wa kazi na maendeleo! ποΈπΌ Katika hotuba hii yenye msisimko, anasisitiza dhamira yake ya kuhakikisha rasilimali za taifa zinatumiwa ipasavyo kwa maendeleo ya Watanzania wote. ππ° Kauli hii inadhihirisha uongozi thabiti na maono ya …
Soma zaidi »CHEMKA HOT SPRING: SIRI YA MAJI YANAYOCHEMKA KIMUUJIZA β Fuatilia Historia na Maajabu Yake!
Chemka Hot Spring ni moja ya maajabu ya asili yanayopatikana Tanzania! πΏπ¦ Je, umewahi kujiuliza kwanini maji haya yanaonekana kuchemka bila moto? Katika video hii, tunachunguza historia, siri, na uzuri wa Chemka Hot Spring, chanzo chake cha ajabu, na sababu inayoyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii.
Soma zaidi »RAIS SAMIA ATAKA UHARAKA WA HUDUMA ZA MAJI NA UENDELEVU WA HUDUMA BORA KWA WANANCHI.
Kilimanjaro, Tanzania β Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Maji mkoani Kilimanjaro kuhakikisha wanaharakisha utoaji wa huduma kwa wananchi ili wasikose huduma hiyo muhimu. Aidha, Rais Samia amesisitiza kuwa mamlaka hiyo ihakikishe huduma ya maji haikatwi katika siku za sikukuu …
Soma zaidi »TUMETESEKA KWA MUDA MREFU KUTOKANA NA UHABA WA MAJI, LAKINI SASA TUNA HAKIKA YA KUPATA MAJI SAFI.
“Tumeteseka kwa muda mrefu kutokana na uhaba wa maji, lakini sasa tuna hakika ya kupata maji safi na salama. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuletea maendeleo haya,” alisema Mariam Salum, mkazi wa Same. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameuzindua rasmi Mradi wa Maji wa …
Soma zaidi »WANANCHI WA SAME NA MWANGA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE
Wananchi wa wilaya za Same na Mwanga wameonyesha furaha na shukrani kubwa kwa uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, hususan kwa uwepo wa mtambo wa kisasa wa kutibu maji uliopo wilayani Mwanga. Mradi huu, ambao chanzo chake ni Bwawa la Nyumba ya Mungu, umekamilika baada ya kusubiriwa kwa miaka …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji wa Same-Mwanga-Korogwe kwenye hafla iliyofanyika Mwanga mkoani Kilimanjaro tarehe 09 Machi, 2025
TUMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA TANZANIA – MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN.
“Ndugu zangu kwa upande wa afya tumepiga hatua kubwa sana haswa kwenye maendeleo ya miundombinu. Nyinyi mnatambua kwamba serikali yenu imejitahidi kujenga miundombinu ya afya nchi nzima katika kila ngazi ya zahanati, hospitali za kata, hospitali za wilaya, hospitali za mikoa na hospitali za rufaa,” Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »DKT. SAMIA: TUMEPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, elimu, miundombinu, na maendeleo ya jamii chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Moja ya mafanikio makubwa ni kupungua kwa vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutoka 1500 kwa vizazi hai 100,000 hadi 104 …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+