WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

HAZINA YA MAAJABU YA ASILI DUNIANI!

Je, umewahi kusikia kuhusu mahali palipojaa neema ya maumbile, watu wenye upendo, na urithi wa kipekee wa utamaduni? Karibu ugundue Tanzania — nchi ambayo haijachakaa kwa macho ya uzuri! Kutoka vilele vya Mlima Kilimanjaro hadi fukwe za kuvutia za Zanzibar, kutoka mbuga maarufu kama Serengeti hadi mito na maziwa yenye …

Soma zaidi »

Tanzania Yapiga Hatua Kubwa Katika Sekta ya Utalii (2021-2024)

Tanzania imefanikiwa kupiga hatua kubwa katika sekta ya utalii kati ya mwaka 2021 na 2024, ikiweka rekodi za kipekee katika ukuaji wa utalii wa ndani na kimataifa. Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii, utalii wa ndani umeongezeka kwa asilimia 307.9%, huku utalii wa kimataifa ukiongezeka kwa …

Soma zaidi »

JE, UNAFAHAMU JINSI BWAWA LA UMEME LA MWALIMU NYERERE LINAVYOBADILISHA MAISHA YA WATANZANIA

Karibu katika video hii maalum inayochambua kwa kina mradi mkubwa wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP), mradi wa kihistoria unaotarajiwa kuzalisha megawati 2,115 za umeme. Mradi huu unalenga kuongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme nchini kutoka megawati 1,900 hadi zaidi ya 4,000, hatua itakayosaidia kukabiliana na mgao …

Soma zaidi »

CHEMKA HOT SPRING: SIRI YA MAJI YANAYOCHEMKA KIMUUJIZA – SEHEMU YA 01

Chemka Hot Spring ni moja ya maajabu ya asili yanayopatikana Tanzania! 🌿💦 Je, umewahi kujiuliza kwanini maji haya yanaonekana kuchemka bila moto? Katika video hii, tunachunguza historia, siri, na uzuri wa Chemka Hot Spring, chanzo chake cha ajabu, na sababu inayoyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii.

Soma zaidi »

“MKOA WA ARUSHA NI MKOA MAMA WA MIKUTANO YA KIMATAIFA” MAKONDA.

Tunamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuhakikisha Arusha inazidi kung’ara kama kitovu cha mikutano ya kimataifa. Uwekezaji mkubwa katika miundombinu na mazingira bora ya mikutano umeifanya Arusha kuwa chaguo kuu kwa matukio makubwa ya kimataifa, kukuza utalii, biashara, na diplomasia. 🔹 Tazama picha chache kutoka kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani …

Soma zaidi »

MANDHARI YA TANZANIA INANG’AA KATIKA “MUFASA: THE LION KING” – UBUNIFU WA DRONE ULIPIGWA NA MTANZANIA KAKA MUSSA UNALETA HADITHI TAMU YA AFRIKA:

Katika hatua ya kipekee ya kuonyesha uzuri wa mazingira ya Afrika, filamu ya kimataifa Mufasa: The Lion King imeleta mabadiliko makubwa katika jinsi hadithi ya kifalme ya simba inavyoonyeshwa. Mchanganyiko huu wa mandhari halisi na hadithi ya kusisimua unaleta uzuri wa Afrika, ukionyesha maeneo ya kipekee kutoka kwenye majangwa ya Namibia hadi …

Soma zaidi »

Ushiriki wa Tanzania katika Utayarishaji wa Filamu ya Kimataifa

Mafanikio ya Mufasa: The Lion King yamepata uzito mkubwa kutokana na mchango wa wataalamu wa Tanzania. Mtayarishaji maarufu Mussa Ally Mbwego (Mussa Kaka) ameongeza umaarufu wa nchi yetu kupitia utumiaji wa teknolojia ya kisasa katika utayarishaji wa filamu. “Ni heshima kubwa kwangu kuwakilisha Tanzania katika mradi huu wa kimataifa, ambapo tunahakikisha kuwa …

Soma zaidi »