HOTUBA YA RAIS KATIKA MKUKUTANO WA UZINDUZI WA SERA YA ARDHI YA MWAKA 1995 (TOLEO LA 2023)
RAIS SAMIA AONYA WATUMISHI WA WIZARA YA ARDHI DHIDI YA RUSHWA
“Hatutavumilia Wanaokwamisha Haki za Wananchi” Dodoma, Machi 17, 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kali kwa watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa serikali haitawavumilia wahujumu wa haki za wananchi. …
Soma zaidi »KIKAO UIMARISHAJI MPAKA TZ NA KENYA CHAANZA TARIME
Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Kikao cha Kamati ya pamoja ya Wataalamu wa mipaka kati ya Tanzania na Kenya kimeanza leo tarehe 11 April 2022 wilayani Tarime mkoa wa Mara. Kikao hicho cha Kamati ya Pamoja kati ya nchi hizo mbili kinachotarajiwa kumalizika April 15, 2022 wilayani humo kitapokea mawasilisho ya …
Soma zaidi »WAZIRI DKT MABULA AONYA WANAOTEGESHA KUPATA FIDIA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na uongozi pamoja na watendaji wa sekta ya ardhi wilayani ya Sengerema mkoani Mwanza kabla ya kuzindua Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya tarehe 21 Machi 2022. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline …
Soma zaidi »SERIKALI YABAKISHA VIJIJI 40 VILIVYOKUWA MAENEO YA HIFADHI DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM CHEMBA Serikali imevibakisha vijiji 40 kati ya 42 ambavyo wananchi wake walikuwa wakiishi na kuendesha shughuli zao kwenye maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba katika mkoa wa Dodoma. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wananchi wa vijiji hivyo kuendelea na shughuli zao baaada ya kuwepo mgogoro wa …
Soma zaidi »MAWAZIRI NANE KUANZA ZIARA KUTOA MAJIBU YA MIGOGORO YA ARDHI MIKOA KUMI
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Mawaziri nane wa kisekta wakioongozwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi kesho tarehe 5 Oktoba 2021 wataanza ziara ya mikoa kumi kwa ajili ya kutoa matokeo ya utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 920. Akizungumza na Waandishi …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA SENSA YA NYUMBA NA MAJENGO
Na Munir Shemweta, DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali iko katika maandalizi ya kufanya sensa ya nyumba na majengo kote nchini. Sensa hiyo itafanyika sanjari na Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwezi Oktoba, 2022. Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani …
Soma zaidi »DKT MABULA AHIMIZA KASI YA UPIMAJI ARDHI BAHI
Na Munir Shemweta, BAHINaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka halmashauri ya wilaya ya Bahi mkoani Dodoma kuongeza kasi ya upimaji ardhi katika maeneo mbalimbali ili kuepuka ujenzi holela.Alisema, kwa sasa maeneo mengi katika halmashauri hiyo yamepanuka kimji na hivyo kuhitaji kupangwa vizuri kwa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI DKT MABULA AITAKA CHEMBA KUANZA MKAKATI WA KUANDAA MPANGO KABAMBE
Na Munir Shemweta, CHEMBA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka halmashauri ya wilaya ya Chemba mkoani Dodoma kuanza mikakati ya kuandaa Mpango Kabambe katika halamashauri hiyo. Dkt Mabula alisema hayo tarehe 21 Septemba 2021 wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa …
Soma zaidi »