RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI AKIWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili nchini Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Pamoja na masuala mengine, Rais Museveni atafanya mazungumzo ya pande mbili na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na baadaye kuzungumza na vyombo …

Soma zaidi »

HAZINA ILIYOFICHWA MAJINI

Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za maji. Tuna Bahari ya Hindi, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa na maziwa mengine madogo madogo. Ndani ya maji haya kuna utajiri mkubwa sana ambao mara nyingi hauonekani moja kwa moja, na mojawapo ni dagaa. Dagaa ni samaki wadogo lakini mchango wao ni …

Soma zaidi »

🔴LIVE: SIKU YA SHERIA NCHINI 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” 📅 Tarehe: 2 Februari, 2026 📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma Mahakama ya Tanzania …

Soma zaidi »

🔴LIVE: SIKU YA SHERIA NCHINI 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” 📅 Tarehe: 2 Februari, 2026 📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma Mahakama ya Tanzania …

Soma zaidi »

Kutoka Bodaboda Hadi Uwekezaji: Vijana Wa Solwa Wathibitisha Mikopo Ya 10% Na Ndoto Zinawezekana!

Katika kipindi ambacho vijana wengi hukata tamaa kutokana na changamoto za ajira na mitaji, Kikundi cha Bodaboda Solwa (Vijana) kimeibuka kama mwanga wa matumaini na mfano halisi kuwa umoja, uaminifu na kujituma vinaweza kubadilisha maisha. Kikundi hiki kinapatikana Kijiji cha Solwa, Kata ya Solwa, Halmashauri ya Shinyanga Vijijini, na kilianzishwa mwaka 2018 kikiwa na wanachama 15 pekee. Leo …

Soma zaidi »

MWAMBASHA YAANGAZA SHINYANGA: SHULE YA SEKONDARI YA AMALI YAKAMILIKA NA KUFUNGUA MILANGO YA MAFANIKIO KWA VIJANA

Kukamilika kwa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwambasha iliyopo Mkoa wa Shinyanga DC ni hatua kubwa ya maendeleo inayotoa matumaini mapya kwa vijana wa kila rika na kuleta ustawi kwa jamii nzima. Mafanikio haya yana mchango mkubwa katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi kama ifuatavyo: Kwanza, shule hii inatoa elimu …

Soma zaidi »