Maktaba ya Kila Siku: March 7, 2025
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameongoza matembelezi ya hisani na uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (TET) ambapo amesisitiza uongozi wa taasisi hiyo kuongeza wigo wa kuimarisha upatikanaji wa vitabu kwenye shule zote nchini
Waziri Mkuu amesema anafahamu kuwa TET imedhamiria kuchapa vitabu kwa wingi ili kufikia uwiano wa kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja, jambo ambalo litaleta manufaa makubwa katika elimu na Taifa kwa ujumla. “Hivyo, kwa dhamira ya dhati kabisa, sote hatuna budi kuliunga mkono jambo hili.” Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Machi …
Soma zaidi »🔴#Live: RAIS SAMIA ANASHIRIKI KWENYE MJADALA WA WAKUU WA NCHI AFRIKA MASHARIKI
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameongoza Mkutano wa 24 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika jijini Arusha. Mkutano huu umewaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama kujadili masuala muhimu yanayoathiri kanda na mustakabali wa jumuiya. Mantiki ya Mjadala: Ufadhili Endelevu wa Jumuiya: Wakuu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+