Waziri Mkuu

WAZIRI MKUU DKT MWIGULU AMESEMA ATASIMAMIA MAELEKEZO YA KATIBA YA TANZANIA

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kali dhidi ya muuguzi mmoja mkoani Tabora anayedaiwa kufanya upasuaji wa mgonjwa nyumbani kwake kinyume na maadili ya taaluma ya afya. Akizungumza leo Machi 4, 2026 alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Machinga jijini Dodoma baada ya kusimamishwa na …

Soma zaidi »

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma.

Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kizalendo wa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa vitendo vya kulinda mazingira. Akizungumza baada ya zoezi hilo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu akiwa ameambatana na mwenza wake Mama …

Soma zaidi »

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WAMACHINGA, MADEREVA PIKIPIKI NA BAJAJI

Waziri Mkuu anazungumza moja kwa moja na wamachinga, madereva wa pikipiki na bajaji kuhusu masuala yanayowagusa katika shughuli zao za kila siku. Katika mazungumzo haya, anasikiliza changamoto zao, anatoa maelekezo, na kufafanua msimamo wa serikali katika kuboresha mazingira ya kazi na maisha ya wananchi wa kipato cha chini. Video hii …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kabla ya kuzungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.

Soma zaidi »

DKT. MWIGULU AKUTANA NA KATIBU MKUU WA TEC

Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AZUNGUMZA MARA BAADA YA KUAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa hotuba muhimu mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya Ikulu. #RaisSamia #MawaziriWapya #Ikulu #HotubaYaRais #Tanzania

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AMEKABIDHIWA RASMI OFISI NA WAZIRI MKUU MSTAAFU KASSIM MAJALIWA

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alikabidhiwa rasmi ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa Novemba 17, 2025, Mlimwa, Dodoma. Hafla ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali ikiwa ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu.

Soma zaidi »

DKT. MWIGULU AAPISHWA IKULU CHAMWINO—RAIS SAMIA AELEZA SABABU ZA UTEUZI WAKE

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika hotuba yake, Rais Samia amesema uteuzi huo ulipitia ushindani mkubwa na Dkt. Mwigulu ndiye aliyebeba sifa nyingi zaidi kwenye vigezo vyote vilivyopimwa. Ameeleza kuwa majukumu ya Waziri Mkuu …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SAMIA AKIMUAPISHA MWIGULU NCHEMBA KUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma, tarehe 14 Novemba, 2025.

Soma zaidi »