Sheikh wa Mkoa wa Mbeya, Msafiri Ayasi Njalambah, amesisitiza kuwa amani na utulivu ni fahari ya Jiji la Mbeya na msingi wa maendeleo endelevu. Sheikh Njalambah amepongeza juhudi za Serikali ya Tanzania katika kujenga jamii yenye umoja na mshikamano, akisema kuwa serikali imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha wananchi wanaishi kwa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 23, 2025
CHIFU WA MBEYA ROCKETI MASOKO MWANSHINGA AKEMEA WANAPANGA KUZUIA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+