MKOA WA ARUSHA

HOTUBA YA MAKONDA ILIYOWALIZA WANANCHI MPAKA MACHOZI: UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA.

Hotuba hii ya Paul Makonda imewagusa wengi kwa kina! πŸ’” Katika uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria, Makonda amezungumza kwa hisia kali kuhusu haki, uonevu, na umuhimu wa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kupata uwakilishi wa kisheria. 🎀 Katika hotuba hii, utashuhudia: βœ… …

Soma zaidi »

Kata ya oldadai, kijiji cha oldadai,Elimu ya msaada wa kisheria ilitolewa kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kuandika mirathi,kupinga ukatili wa kijinsia na njia sahihi ya kuepuka migogoro ya aridhi

#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba

Soma zaidi »

πŸ“ BILIONI 300 ZAJENGA UWANJA WA MICHEZO ARUSHA – MAKONDA AMSHUKURU RAIS SAMIA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makonda, amepongeza juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa bilioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa michezo mkoani Arusha. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Makonda alieleza kuwa uwanja huu utakuwa chachu ya maendeleo ya michezo, kuinua vipaji …

Soma zaidi »

ZAIDI YA WATU LAKI NNE KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI JIJINI ARUSHA

Arusha, Machi 1, 2025 – Meya wa Jiji la Arusha, Mhe. Maximilian, ametangaza kuwa zaidi ya watu laki nne wanatarajiwa kushiriki katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mhe. Maximilian amesema maandalizi yanaendelea vizuri, huku jiji likijiandaa kupokea wageni …

Soma zaidi »

LAND ROVER YA MBAO YA WADUDU WA CHUGA YAVUTIA WENGI

Land Rover ya Wadudu wa Chuga imevutia umati mkubwa kwenye #ArushaLandRoverFestival2024. Tukio hili lilifanyika kuadhimisha urithi wa kipekee wa Land Rover na mchango wake katika sekta ya magari duniani. Land Rover maarufu ya “Wadudu wa Chuga,” gari la kipekee linalotumiwa na wenyeji wa maeneo ya Arusha, liliwashangaza wengi kutokana na …

Soma zaidi »