#MSLAC #SisiniTanzania #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #Naipendanchiyangu #matokeochanya #SSH #kazinaututunasongambele #Mslac #katibanasheria
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: April 2025
🅻🅸🆅🅴 :🔴 BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA KUMI NA TANO, 30 APRILI 2025
Leo tarehe 30/04/2025, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepokea Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Katika hotuba hii muhimu, Waziri wa Katiba na Sheria anawasilisha mipango, mafanikio, changamoto na makadirio ya bajeti kwa mwaka ujao wa fedha, kwa lengo la …
Soma zaidi »🅻🅸🆅🅴 :🔴DKT. NDUMBARO AKIWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA 2025/2026 BUNGENI
Tarehe 30 Aprili 2025, Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, amewasili katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma na kuwasilisha rasmi Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Katika hotuba yake, Dkt. Ndumbaro ameeleza vipaumbele vya wizara, mafanikio yaliyofikiwa, na mikakati ya …
Soma zaidi »LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA KUMI NA TANO, 30 APRILI 2025
ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO: I. DUA II.HATI ZA KUWASILISHA MEZANI III.MASWALI IV.HOJA ZA SERIKALI.
Soma zaidi »TALGWU SINGIDA YAPONGEZA UAMUZI WA RAIS SAMIA KUFANIKISHA MEI MOSI KITAIFA
Katibu wa mkoa wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) mkoa wa Singida, Deogratius Rugambwa, amemshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kufanyika kitaifa katika mkoa wa Singida. Ameeleza kuwa hatua hiyo ni ya kihistoria na inaongeza heshima …
Soma zaidi »SINGIDA YAMKARIBISHA KWA SHANGWE RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA MEI MOSI 2025
Wameeleza furaha yao juu ya ujio wa Mhe Rais Samia kwenye maadhimisho hayo ambayo kitaifa yanafanyika mkoani Singida. Kauli mbiu ya mwaka huu ni: “Uchaguzi Mkuu wa 2025 utuletee viongozi wanaojali na kuthamini haki na maslahi ya wafanyakazi, Sote tushiriki.” #MeiMosi2025 #SingidaNaSamia #SamiaTheGameChanger
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mapema leo Aprili 30, 2025 amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma
SOKO LA KUBADILISHIA FEDHA LEO 30/04/2025
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE…
#MSLAC #SisiniTanzania #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #Naipendanchiyangu #matokeochanya #SSH #kazinaututunasongambele #Mslac #katibanasheria
Soma zaidi »KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE…
#MSLAC #SisiniTanzania #SisiniTanzania #sisindiowajenziwatanzaniayetu #nchiyangukwanza #Naipendanchiyangu #matokeochanya #SSH #kazinaututunasongambele #Mslac #katibanasheria
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+