DIPLOMASIA

RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI AKIWASILI TANZANIA KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili nchini Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Pamoja na masuala mengine, Rais Museveni atafanya mazungumzo ya pande mbili na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na baadaye kuzungumza na vyombo …

Soma zaidi »

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi ili kulinda ustawi wa wafanyakazi na kuongeza tija ya uzalishaji.

Waziri Sangu ametoa wito huo (Januari 05, 2026) mkoani Mwanza, wakati wa ziara yake maalum ya kukagua utekelezaji wa masuala ya  Usalama na Afya Mahali Pa Kazi katika Kiwanda cha Omega Fish Limited. Akiwa kiwandani hapo Waziri Sangu amepongeza menejimenti ya kiwanda hicho kwa kutoa ajira kwa wazawa na kuzingatia …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Naibu Mwenyekiti wa Biashara ya Jumuiya ya Madola na Baraza la Uwekezaji (CWEIC) Mhe. Lord Hugo Swire, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025.

Rais Dkt. Samia pamoja na Naibu Mwenyekiti wa CWEIC Lord Hugo Swire ambaye pia alikuwa Waziri wa zamani Mambo ya Nje wa ofisi ya Jumuiya ya Madola katika Serikali ya Uingereza walijadiliana masuala ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Uwekezaji ambao utachochea ukuaji wa uchumi na kutengeneza ajira. Aidha, Lord …

Soma zaidi »

JE..! UNAJUA JUKUMU LA SAFARI YA APOLLO 11, 20/07/1969 — TANZANIA ILIHUSIKA..? 🌍🚀

Safari ya Apollo 11 ni moja ya matukio makubwa zaidi katika historia ya ubinadamu — siku ambayo binadamu alikanyaga mwezini kwa mara ya kwanza. Lakini je, unajua kuwa Tanzania ilikuwa sehemu muhimu ya mafanikio hayo? Katika video hii, tunafichua jukumu la kipekee lililochezwa na kituo cha Mawasiliano cha Tanzania wakati …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango, akiwasili Jijini New York nchini Marekani leo tarehe 21 Septemba 2025. Makamu wa Rais yupo nchini Marekani kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 80).

Soma zaidi »

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetunukiwa Tuzo Kuu ya Ubunifu katika Huduma Jumuishi za Fedha (Nestor Espenilla Jr. Financial Inclusion Innovation Award) inayotolewa na Jumuiya ya Huduma Jumuishi za Fedha (AFI), yenye wanachama 84 duniani.

Tuzo hiyo ilipokelewa na Naibu Gavana wa BoT anayeshughulikia Uthabiti na Usimamizi wa Sekta ya Fedha, Bi. Sauda Msemo, kwa niaba ya Gavana Bw. Emmanuel Tutuba, katika Mkutano Mkuu wa AFI uliofanyika hivi karibuni mjini Swakopmund, Namibia. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Septemba 15, 2025 wakati akitangaza tuzo hiyo, …

Soma zaidi »

Wanasayansi wanawake wawili – Profesa Mary Abukutsa-Onyango kutoka Kenya na Mercy Diebiru-Ojo kutoka Nigeria – wametangazwa washindi wa Tuzo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2025 (Africa Food Prize 2025).

Tuzo hiyo, yenye thamani ya Dola za Marekani 100,000, ilikabidhiwa na Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Chakula Barani Afrika. Hafla ya kukabidhi tuzo ilifanyika mjini Dakar, Senegal, pembezoni mwa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AFSF) linaloendelea …

Soma zaidi »