Makamu wa Rais

Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahimiza Waandishi Waendesha Ofisi kujiweka tayari ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia kwa kuendelea kujifunza na kuwa wabunifu zaidi kwa kuwa ustadi katika TEHAMA unakuwa ni sifa muhimu katika majukumu yao

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Mhe. Stephen Wasira

Mazungumzo hayo yalifanyika wakati wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya Kisasa (SGR) leo tarehe 08 Machi 2025

Soma zaidi »

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpangoakimfariji Bi. Kovambo Nujoma ambaye ni mjane wa aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dkt. Sam Nujoma wakati wa Maombolezo ya Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek nchini Namibia leo tarehe 28 Februari 2025

Soma zaidi »