Maktaba ya Kila Siku: March 2, 2025
NI KWA NINI CHUO HIKI CHA UONGOZI KIMEPEWA JINA LA MWALIMU NYERERE: PART 3
ONA JINSI SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE INAVYOVUTIA. PART 2
IFAHAMU SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU NYERERE KIBAHA. PART 01
RAIS SAMIA AKAGUA MRADI WA UBORESHAJI WA GATI MBILI MPYA MRADI WA BANDARI YA TANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 1 Machi 2025, amefanya ziara ya ukaguzi katika Bandari ya Tanga ili kujionea maendeleo ya mradi wa maboresho unaojumuisha ujenzi wa gati mbili mpya. Mradi huu unalenga kuboresha uwezo wa bandari hiyo katika kuhudumia shehena kubwa …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+