“WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KULINDA NA KUENDELEZA MUUNGANO” kwa kuzingatia Katiba na mustakabali wa Muungano wa Tanzania: 1. Maana ya Muungano wa Tanzania Muungano wa Tanzania ulianzishwa tarehe 26 Aprili 1964 kwa kuunganisha Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu unasimamiwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inayotambua mambo ya Muungano …
Soma zaidi »🔴#LIVE: SEMINA YA MUUNGANO KWA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR
Michezo ni afya, Mazingira ni uhai.
MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, leo 24 Agosti, 2025.
Soma zaidi »MUNGU IBARIKI TANZANIA
UTAMADUNI NDIO UNABAKI KUWA UTAMBULISHO WETU – MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Kauli ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inasisitiza thamani ya urithi wetu wa kiutamaduni kama uti wa mgongo wa taifa. Katika hotuba hii ya kihistoria, Rais anaangazia namna mila, desturi na sanaa zetu zinavyobeba hadhi, heshima na historia ya Watanzania. Tazama video hii kujionea msisitizo wa Serikali ya Awamu …
Soma zaidi »TAMASHA LA VIJANA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA LAFANA JIJINI DODOMA
Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Tamasha hili lilifanyika kwa heshima ya kuadhimisha kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi …
Soma zaidi »MHE. RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO LA KANDA YA ZIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na maelfu ya wananchi katika kusherehekea Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya Ziwa, lililofanyika leo tarehe 21 Juni, 2025. Tamasha hili limekuwa jukwaa muhimu la kuenzi urithi wa kitamaduni, sanaa, ngoma, mavazi ya asili na …
Soma zaidi »MICHEZO NI KINGA YA KUJIINGIZA KWENYE MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, VIJANA TUSHIRIKI MICHEZO
Katika fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, timu ya Wagoloko FC iliibuka kidedea kwa kuifunga Mwaise FC mabao 2–0, mbele ya mamia ya mashabiki waliokuwa wakishangilia kwa hamasa kubwa. Kamishna Lyimo amesema tukio hilo limekuwa zaidi ya mchezo; limekuwa darasa la mshikamano, …
Soma zaidi »MICHEZO YAVUTIA VIJANA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA
Baadhi ya wananchi walioshiriki kwenye michuano ya mpira wa miguu iliyokuwa ikiendelea jijini Dodoma, wameeleza kufurahishwa na hatua ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kutumia michezo kama jukwaa la kijamii kuhamasisha mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya, hasa kwa vijana. Michuano hiyo, iliyojumuisha …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+