Ibrahim Hamisi Msaga, mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga kata ya Katandala, ameipongeza serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo katika Mkoa wa Rukwa. Ametaja miradi hiyo kuwa ni pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Ndege, Hospitali za kisasa, na shule zenye miundombinu bora …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 26, 2025
TUSHIRIKI UCHAGUZI KWA KUHESHIMU KATIBA NA KUTHAMINI ELIM- EUNICE ISAACK WILOMO-
Eunice Isaack Wilomo amepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, hususan kuendeleza elimu bila malipo kwa watoto wa Kitanzania. Amesema serikali ya Awamu ya Sita imeboresha mazingira ya kujifunzia kwa kuweka umeme mashuleni, kuweka madirisha ya kisasa na marumaru kwenye madarasa, jambo linalochochea ubora …
Soma zaidi »MAANDALIZI YA IFTAR YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, MHE. PAUL CHRISTIAN MAKONDA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, anatarajiwa kuwaandalia hafla ya futari (Iftar) wananchi wa Arusha, viongozi wa dini na wazee wa mkoa huu. Iftar hiyo imepangwa kufanyika tarehe 27 Machi 2025 katika viwanja vya ofisi ya mkoa wa Arusha.
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+