Tunamshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuhakikisha Arusha inazidi kung’ara kama kitovu cha mikutano ya kimataifa. Uwekezaji mkubwa katika miundombinu na mazingira bora ya mikutano umeifanya Arusha kuwa chaguo kuu kwa matukio makubwa ya kimataifa, kukuza utalii, biashara, na diplomasia.
🔹 Tazama picha chache kutoka kwenye maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Arusha! 🌍✨
#AsanteRais #Arusha #MkoaMama #MikutanoYaKimataifa #SikuYaWanawake #IWD2025
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+