TUMEPUNGUZA KIWANGO CHA UMASIKINI KWA ZAIDI YA 26% – MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN.

“Kwa upande wetu Tanzania mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo katika vision yetu ile kubwa ya miaka 25. Mpaka tunafanya tathmini ya mpango wa tatu wa maendeleo tayari tulishapunguza umasikini kwa kiwango cha asilimi 26,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

#sisinitanzania #mslac #katibanasheria #matokeochanya #nchiyangukwanza #ssh #tanzania #kaziiendelee #kaziiendelee #ccm #bungelive

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *