Maktaba ya Mwezi: March 2025
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumika na waisalamu wengine kusali swala ya Eid katika kukamilisha ibada ya Mfungo wa Ramadhan katika Msikiti wa Mohamed VI uliopo katika Makao Makuu ya BAKWATA Kinondoni Jijini Dar kwa ajili ya kuswali Swala ya Eid El Fitr
ARUSHA IMEFUNGUKA.
TEMBELEA , HIFADHI ZA TAIFA NA HAPA NI NYUMBANI.
Soma zaidi »LIVE: KILELE CHA MAONESHO YA SIKU YA KUONDOA TAKA DUNIANI – VIWANJA VYA MNAZI MMOJA
NAIBU WAZIRI KHAMIS HAMZA AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA NA NEMC KUTOA ELIMU YA FURSA ZA TAKA
TUIDUMISHE AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI – SALIM MZEE SEIFU
Salim Mzee Seifu amepongeza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza jinsi ambavyo huduma za elimu, maji na miundombinu ya barabara zimeboreshwa kwa kiwango kikubwa katika mji wa Sumbawanga. Amesema maendeleo haya yanaonesha dhamira ya kweli ya serikali katika kuinua maisha ya …
Soma zaidi »KAMPENI YA “NO REFORMS NO ELECTION” INAMPANGO WA KUIPENDELEA TEAM – ELISHA ASA MWAMBENE
Elisha Asa Mwambene, Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mtaa wa Msasani, Tunduma, Mkoa wa Songwe, ameibua mjadala mzito kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Tundu Lissu. Kupitia mahojiano na wanahabari, Elisha amesema vijana wengi Tunduma wameshindwa kuelewa lengo hasa …
Soma zaidi »WANAOHAMSISHA KUSUSIA UCHAGUZI WAULIZENI FAMILIA ZAO ZIKO WAPI? OSCAR EDGAR EMBEDODO
Mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga, Mkoa wa Rukwa, Oscar Edgar Embedodo, ametahadharisha wananchi wa Sumbawanga na Watanzania kwa ujumla juu ya hatari ya kushawishiwa kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Amesema kuwa ushawishi huo si wa kawaida, bali ni kiashiria cha mpango wa kuvuruga amani ya nchi kwa maslahi binafsi …
Soma zaidi »UCHAGUZI NI HAKI YA KIKATIBA, SIYO KWA MAELEKEZO YA MAKU
Mzee Shila Hailele Mponda, mkazi wa Jimbo la Tunduma, ameibua hoja nzito dhidi ya kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na kikundi cha Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Mzee Shila ameeleza kuwa tayari wanasiasa wa CHADEMA kutoka jimbo lao, akiwemo aliyekuwa Mbunge Frank Mwakajoka na mwanasiasa kijana Boniface …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+