Maktaba ya Kila Siku: March 10, 2025

CHEMKA HOT SPRING: SIRI YA MAJI YANAYOCHEMKA KIMUUJIZA – Fuatilia Historia na Maajabu Yake!

Chemka Hot Spring ni moja ya maajabu ya asili yanayopatikana Tanzania! 🌿💦 Je, umewahi kujiuliza kwanini maji haya yanaonekana kuchemka bila moto? Katika video hii, tunachunguza historia, siri, na uzuri wa Chemka Hot Spring, chanzo chake cha ajabu, na sababu inayoyafanya kuwa kivutio kikubwa kwa watalii.

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ATAKA UHARAKA WA HUDUMA ZA MAJI NA UENDELEVU WA HUDUMA BORA KWA WANANCHI.

Kilimanjaro, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Maji mkoani Kilimanjaro kuhakikisha wanaharakisha utoaji wa huduma kwa wananchi ili wasikose huduma hiyo muhimu. Aidha, Rais Samia amesisitiza kuwa mamlaka hiyo ihakikishe huduma ya maji haikatwi katika siku za sikukuu …

Soma zaidi »

TUMETESEKA KWA MUDA MREFU KUTOKANA NA UHABA WA MAJI, LAKINI SASA TUNA HAKIKA YA KUPATA MAJI SAFI.

“Tumeteseka kwa muda mrefu kutokana na uhaba wa maji, lakini sasa tuna hakika ya kupata maji safi na salama. Tunamshukuru sana Rais Samia kwa kutuletea maendeleo haya,” alisema Mariam Salum, mkazi wa Same. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameuzindua rasmi Mradi wa Maji wa …

Soma zaidi »

WANANCHI WA SAME NA MWANGA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MRADI WA MAJI SAME-MWANGA-KOROGWE

Wananchi wa wilaya za Same na Mwanga wameonyesha furaha na shukrani kubwa kwa uzinduzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe, hususan kwa uwepo wa mtambo wa kisasa wa kutibu maji uliopo wilayani Mwanga. Mradi huu, ambao chanzo chake ni Bwawa la Nyumba ya Mungu, umekamilika baada ya kusubiriwa kwa miaka …

Soma zaidi »