OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU

DKT. BITEKO AWATAKA WAZAZI KUTUNZA FAMILIA ZAO.

β€œ Mtoto ni zao la matokeo ya wazazi wawili, Naomba wazazi tuthamini kuwa mtoto ni mtu muhimu na anahitaji kulelewa, tukumbuke kuwa tumefika hapa kwa kuwa wako wazazi walivumiliana na wakatulea katika familia na sisi tusiwe watu wa kutelekeza familia zetu, ni wajibu wa kila mmoja kujua kuwa familia ni …

Soma zaidi »

WAFANYAKAZI WATOA NENO LA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA

Baadhi ya Wafanyakazi nchini wametoa pongezi na shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuthibitisha tena kuwa anawajali watumishi wa umma. Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025 zilizofanyika Uwanja wa Bombadia mkoani Singida, Rais Samia alitangaza ongezeko la kima …

Soma zaidi »

πŸ”΄ HOTUBA YENYE MWELEKEO MPYA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA WAFANYAKAZI : MEI MOSI 2025, SINGIDA.

Karibu kwenye video hii ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anatoa hotuba ya kipekee yenye mwelekeo mpya kwa wafanyakazi katika maadhimisho ya Mei Mosi 2025, yaliyofanyika Singida. Katika hotuba hii, Rais Samia anazungumzia malengo ya maendeleo, haki na faraja za wafanyakazi, pamoja na mipango ya serikali ya kuimarisha mazingira ya kazi …

Soma zaidi »

πŸ”΄ πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :MAADHIMISHO YA MEI MOSI KITAIFA 2025 – SINGIDA | MGENI RASMI DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Karibu kwenye matangazo ya moja kwa moja ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) Kitaifa kwa mwaka 2025, yanayofanyika leo mkoani Singida. Mgeni rasmi katika sherehe hizi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambapo atahutubia taifa na kuzungumza na wafanyakazi kutoka …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa zawadi kwa wafanyakazi hodari katika sherehe ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Bombadia Mkoani Singida tarehe 01 Mei, 2025

Soma zaidi »