UKIONA FULSA CHANGAMKIA, SIKILIZA NA JIFUNZE KWA WATANZANIA WA KISHAPU FOOD WALIVYOWEZESHWA NA TADB
Katika video hii tunakupeleka Kishapu, ambako Watanzania wa Kishapu Food wamepata uwezeshaji mkubwa kupitia TADB (Tanzania Agricultural Development Bank). Utajifunza: ✅ Jinsi TADB inavyowawezesha vijana na wakulima kupata mikopo nafuu. ✅ Hatua zilizochukuliwa na Kishapu Food kufanikisha ndoto zao. ✅ Ushauri kwa vijana na wajasiriamali wa Tanzania kuchangamkia fursa zilizopo …
Soma zaidi »UZINDUZI WA KIWANDA CHA MAJARIBIO CHA KUCHENJUA URANI KATIKA ENEO LA MTO MKUJU NI NEEMA KWA TAIFA
Urani Mto Mkuju: Mlango Mpya wa Maendeleo na Uchumi wa Juu kwa Tanzania Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani katika eneo la Mto Mkuju, mkoani Ruvuma, umetajwa kuwa hatua muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia nchini Tanzania. Kwa mujibu wa Bwana Menani Lameck Ezekia, mtaalamu …
Soma zaidi »MHE. CHAUREMBO AWATAKA WAWEKEZAJI VIWANDA KUSHIRIKIANA NA WANANCHI KUDHIBITI ATHARI ZA KIMAZINGIRA
NEMC YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU, YATEMBELEA NA KUKAGUA ENEO LA VIWANDA MBAGALA
SERIKALI YA WAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA JUMUIYA YA AFASU KUTOKA MISRI
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji imewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara kutoka nchini Misri kupitia Jumuiya ya Muungano Kimataifa chini ya kundi la Afrika na Asia (Afro-Asian Union (AFASU). Ujumbe wa Jumuiya hiyo umefika nchini kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji hususani katika sekta ya; Utalii, Kilimo, Afya, …
Soma zaidi »VIWANDA VINA MCHANGO MKUBWA UKUAJI WA MAENDELEO KIUCHIMI – NAIBU WAZIRI KIGAHE
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe akitoa salamu za Wizara baada ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuzindua Upanuzi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro. Septemba 23, 2021 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe ameeleza kuwa Viwanda vina …
Soma zaidi »BALOZI ZA TANZANIA NJE YA NCHI ZATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SIDO KUENDELEZA VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI HAPA NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameielekeza Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia SIDO kushirikiana Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kupitia Balozi za Tanzania nje ya nchi katika kupata teknolojia rafiki, mitaji, kutafuta masoko ili kuendeleza viwanda vidogo …
Soma zaidi »SEKTA YA VIWANDA IMECHANGIA KUONDOA UMASIKINI NCHINI – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema sekta ya viwanda ina mchango mkubwa katika kukuza uchumi na kuondoa umaskini nchini pamoja na kuboresha maisha ya Watanzania. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumatano, Septemba 23, 2021) baada ya kuzindua Upanuzi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro akiwa katika …
Soma zaidi »SERIKALI YA TANZANIA IMETAKA KUWEPO NA UHURU WA KISERA KWA NCHI ZINAZOENDELEA
Serikali ya Tanzania imetaka kuwepo na uhuru wa kisera kwa nchi zinazoendelea na maskini ili kujihami na athari za uingizwaji uliokithiri wa bidhaa za kilimo hususan kutoka nchi zilizoendelea. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof.Kitila Mkumbo amesema hayo Septemba 16, 2021, katika Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la Nchi …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+