“Ndugu zangu kwa upande wa afya tumepiga hatua kubwa sana haswa kwenye maendeleo ya miundombinu. Nyinyi mnatambua kwamba serikali yenu imejitahidi kujenga miundombinu ya afya nchi nzima katika kila ngazi ya zahanati, hospitali za kata, hospitali za wilaya, hospitali za mikoa na hospitali za rufaa,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#sisinitanzania #mslac #katibanasheria #matokeochanya #ssh #kaziiendelee #tanzania #tanzania #nchiyangukwanza #nchiyangukwanza #bungelive
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+