DKT. SAMIA: TUMEPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO

Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya afya, elimu, miundombinu, na maendeleo ya jamii chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Moja ya mafanikio makubwa ni kupungua kwa vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutoka 1500 kwa vizazi hai 100,000 hadi 104 kwa vizazi hai 100,000 – hatua kubwa katika kuboresha huduma za afya ya uzazi nchini!

Katika video hii, tunakuletea mafanikio ya Tanzania na juhudi zinazofanywa kuinua ustawi wa wananchi kwa ujumla. Sisi ni Tanzania! πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’™

πŸ“’ Usisahau: βœ… Ku-Like πŸ‘ βœ… Ku-Subscribe πŸ”” βœ… Kushare ili kueneza ujumbe wa maendeleo πŸ“² #SisiNiTanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #SamiaSuluhuHassan #AfyaBora #Maendeleo #TanzaniaKwanza #SioNdotoTena

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *