Maktaba ya Mwezi: March 2025

HOTUBA YA MAKONDA ILIYOWALIZA WANANCHI MPAKA MACHOZI: UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA.

Hotuba hii ya Paul Makonda imewagusa wengi kwa kina! 💔 Katika uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria, Makonda amezungumza kwa hisia kali kuhusu haki, uonevu, na umuhimu wa msaada wa kisheria kwa wananchi wasio na uwezo wa kupata uwakilishi wa kisheria. 🎤 Katika hotuba hii, utashuhudia: ✅ …

Soma zaidi »

IFTAR YA KIHISTORIA ARUSHA: MHE. RC. MAKONDA AONGOZA JUHUDI ZA KUDUMISHA UMOJA NA UPENDO.

Katika hali ya kipekee ya mshikamano na umoja, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, ameandaa hafla ya futari (Iftar) kwa ajili ya wananchi wa Arusha, viongozi wa dini, na wazee wa mkoa huu. Iftar hii, inayotarajiwa kufanyika tarehe 27 Machi 2025 katika viwanja vya ofisi ya mkoa …

Soma zaidi »

TUILINDE AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025

Ibrahim Hamisi Msaga, mkazi wa Manispaa ya Sumbawanga kata ya Katandala, ameipongeza serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo katika Mkoa wa Rukwa. Ametaja miradi hiyo kuwa ni pamoja na ujenzi wa Uwanja wa Ndege, Hospitali za kisasa, na shule zenye miundombinu bora …

Soma zaidi »

TUSHIRIKI UCHAGUZI KWA KUHESHIMU KATIBA NA KUTHAMINI ELIM- EUNICE ISAACK WILOMO-

Eunice Isaack Wilomo amepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu, hususan kuendeleza elimu bila malipo kwa watoto wa Kitanzania. Amesema serikali ya Awamu ya Sita imeboresha mazingira ya kujifunzia kwa kuweka umeme mashuleni, kuweka madirisha ya kisasa na marumaru kwenye madarasa, jambo linalochochea ubora …

Soma zaidi »

MAANDALIZI YA IFTAR YA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, MHE. PAUL CHRISTIAN MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, anatarajiwa kuwaandalia hafla ya futari (Iftar) wananchi wa Arusha, viongozi wa dini na wazee wa mkoa huu. Iftar hiyo imepangwa kufanyika tarehe 27 Machi 2025 katika viwanja vya ofisi ya mkoa wa Arusha.

Soma zaidi »

NI WAKATI WA KUIMARISHA AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU 2025: MCHUNGAJI FIDELISI MAHEKE, NKASI.

Mchungaji Fidelisi Maheke ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Agape Life Wilaya ya Nkasi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Makanisa ya Kipentekoste na Katibu wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania katika Wilaya ya Nkasi, ametoa wito wa kuhimiza amani, mshikamano na ushiriki wa wananchi katika uchaguzi mkuu wa 2025. …

Soma zaidi »