Katika hali ya kipekee ya mshikamano na umoja, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, ameandaa hafla ya futari (Iftar) kwa ajili ya wananchi wa Arusha, viongozi wa dini, na wazee wa mkoa huu. Iftar hii, inayotarajiwa kufanyika tarehe 27 Machi 2025 katika viwanja vya ofisi ya mkoa wa Arusha, ni tukio ambalo lina umuhimu mkubwa katika kukuza na kudumisha amani, upendo, mshikamano, na undugu katika jamii ya Arusha
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+