TUIDUMISHE AMANI KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI – SALIM MZEE SEIFU

Salim Mzee Seifu amepongeza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akieleza jinsi ambavyo huduma za elimu, maji na miundombinu ya barabara zimeboreshwa kwa kiwango kikubwa katika mji wa Sumbawanga.

Amesema maendeleo haya yanaonesha dhamira ya kweli ya serikali katika kuinua maisha ya wananchi.

Seifu amewataka wananchi wa Sumbawanga kupuuza chokochoko na maneno ya watu wasiopenda amani, na badala yake wajitokeze kwa wingi kujiandikisha na kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa amani na utulivu.

#Kazinaututunasongambele #Sisinitaanzania

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *