Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makonda, amepongeza juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa bilioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa michezo mkoani Arusha. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Makonda alieleza kuwa uwanja huu utakuwa chachu ya maendeleo ya michezo, kuinua vipaji vya vijana, na kusaidia uchumi wa mkoa kwa kuvutia mashindano ya kitaifa na kimataifa.
Uwekezaji huu ni hatua kubwa katika kukuza sekta ya michezo na utalii wa michezo nchini.
#AsanteRais #Arusha #Bilioni300 #MichezoNiMaendeleo #UwanjaWaMichezo #IWD2025
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+