Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi …
Soma zaidi »MAENDELEO UJENZI WA SHULE ZA WASICHANA
NAIBU WAZIRI SIMA APIGA MARUFUKU UOKOTAJI WA CHUPA ZA PLASTIKI DAMPO
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima akitoa maelekezo kwa Bw. Vanika Ndelekwa Mkuu wa Idara ya Mazingira wa Jiji la Mbeya mara baaada ya Naibu Waziri Sima kutembelea dampo la Nsagala Jijini Mbeya Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeagizwa kuanzisha programu maalumu ya kutoa …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SIMA AKAGUA KIWANDA CHA TBL MBEYA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akipata maelezo ya shughuli za uendeshaji wa Kiwanda cha Bia Mbeya kutoka kwa Bw. Emmanuel Sawe Meneja Mkuu wa Kiwanda hicho. Kushoto ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi – Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi …
Soma zaidi »USICHOKE KUTULEA SISI VIJANA TUNA MIHEMKO MIKUBWA – MKUU WA MKOA WA MBEYA CHALAMILA
Alichozungumza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila Ikulu Chamwino,jijini Dodoma julai 16, 2020 “Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nifurahi kidogo kwa kupewa nafasi hii kuwa mmoja wa wazungumzaji wa kutoa neno kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa waliohudhuria hii leo” “Mhe Rais nimepewa jina hivi karibuni …
Soma zaidi »