Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ) akishiriki

Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na Viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Machi 2025. Mkutano huo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya Ulinzi na Usalama Mashariki mwa Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *