Mkutano huo pia umejadili vipaumbele vya Sera ya Afya kama vile kushughulikia magonjwa yasiyoambukiza, magonjwa ya mlipuko, kuimarisha afya ya msingi na kujengea uwezo watumishi wa sekta ya afya kwenye ubingwa bobezi kwa kubadilishana uzoefu, namna bora ya kuendelea kuboresha huduma za lishe na uimarishaji wa mifumo ya afya.
Katika mkutano huo Dkt. Magembe alikutana na Mganga Mkuu wa Serikali ya Uingereza Prof. Chris Whitty na Waziri wa Afya
Mkutano huo umefanyika Machi 18 na 19, 2025, London, Uingereza.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+