MIUNDOMBINU IMEIMARISHWA, SASA MAMBO SHWALI. – MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU

Kauli hii ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaakisi mafanikio makubwa katika ujenzi wa miundombinu nchini Tanzania! ๐Ÿ—๏ธ๐Ÿš†๐Ÿšง Kutoka barabara za kisasa, madaraja, reli ya SGR, mpaka maboresho ya bandari na usafiri wa anga โ€“ maendeleo yanaonekana kwa macho!

๐Ÿ“Œ Katika video hii, tunaangazia jinsi serikali ya awamu ya sita inavyowekeza katika miundombinu ili kuimarisha uchumi, kuongeza fursa za ajira, na kuboresha maisha ya Watanzania. Tazama hadi mwisho upate kuelewa zaidi!

๐Ÿ”” Usisahau KUSUBSCRIBE kwa habari zaidi za maendeleo ya Tanzania!

๐Ÿ‘๐Ÿฝ Like | ๐Ÿ’ฌ Comment | ๐Ÿ”„ Share

#SamiaSuluhu #Tanzania #Maendeleo #Miundombinu #SGR #UchumiImara #KaziIendelee

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *