MWANAMKE MMILIKI WA KAMPUNI YA WATALII ALIVYOFAIDIKA NA ROYAL TOUR YA RAIS DKT.SAMIA SULUHU

Msaada wa serikali katika kutangaza Tanzania kama kivutio bora cha utalii umeongeza kasi ya maendeleo kwa wajasiriamali kama mimi. Leo hii nina wateja wa kudumu kutoka Marekani na Ufaransa, jambo ambalo halikuwa rahisi hapo awali,

#HakiKwaWote 🇹🇿⚖️ #SamiaLegalAid #TanzaniaYaHaki #mslac #sisinitanzania #katibanasheria #matokeochanya #ccm #nchiyangukwanza #kaziiendelee #hakikwawote #habari

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *