Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu ameeleza kuwa Serikali itagharamia 100% chanjo ya Kuku, uwekaji hereni na 50% ya gharama ya chanjo ya wanyama wengine #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: June 16, 2025
SEKONDARI YA WASICHANA SIMIYU – BARIADI YAZINDULIWA
Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »Wakili Mwabukusi, amepongeza kampeni ya kisheria ya Mama Samia Legal Aid katika viwanja vya Zakiem, akisema imemsaidia kuelewa haki zake kuhusu ardhi na ndoa
Amesema sasa jamii ina uelewa zaidi na imejengeka imani kwa msaada wa sheria bila malipo.
Soma zaidi »KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA RASMI DAR ES SALAAM
Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye ulemavu. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #MSLAC
Soma zaidi »KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA RASMI DAR ES SALAAM
Kampeni hii inalenga kutoa elimu na huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote, hususan makundi yenye uhitaji kama wanawake, vijana, wazee, na watu wenye ulemavu. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #MSLAC
Soma zaidi »DKT. AKINWUMI ADESINA ASAFIRI
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Akinwumi Adesina amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 4 aliyoifanya chini Tanzania kuanzia tarehe 12 hadi 15 Juni 2025, kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Soma zaidi »JENGO LA OFISI YA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI BARIADI LAZINDULIWA
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu afungua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Miji Bariadi, Simiyu tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »JENGO LA MKUU WA MKOA LAZINDULIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu azindua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #oktobatunatiki
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi tarehe 16 Juni, 2025
JENGO LA TRA SIMIYU LAZINDULIWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Jengo la Ofisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Simiyu lililopo Bariadi. #MatokeochanyA #KaziNaUtuTunasongaMbele #ZiaraYaRaisSimiyu #OKTOBATUNATIKI
Soma zaidi »